Tungo: Naogeshwa kwa iliki.

Tungo: Naogeshwa kwa iliki.

nentewene

Senior Member
Joined
Jun 9, 2017
Posts
144
Reaction score
94
naogeshwa kwa iliki..nafukizwa kwa ubani..
nisiwe mnaafik..ananipenda si utani..
mtoto shokishoki..anatokea visiwani..
tena amejikoki..haniachi asilani..
penzi lake mshikaki..lina tamu milioni..
mie ndani sitoki ..nimeganda kama lami..
 
Ulimi napewa kitandani*Hiliki ipo bafuni.
Anisugua mwandani*chetezo chafukizwa na ubani.
Udi,kiluwa na athumini*Nihoi nitaabani hiliki yanukia mwilini
Majirani dirishani*Pua zao nyavuni utadhani makuhani.
Aahh laazizi mtoto wa pwani*Umeniweza mbahili wa mjini.
Leo hiliki kesho mdalasini* Pole yenu majirani mpo wapweke kama majini.
Jirani na kauli yake ya kataa ndoa* mpweke kama jini subiani.
 
[emoji91]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwake sitabiriki,am so proud of her
Tena nipo kwenye peak,ananiita shuja
Rangi flan chocolate,poz flan za raha
Naogeshwa kwa iliki,nipo deep balaa!!

Kwao Tanga manzabay,hay mahab n moto.
Nikiamka asubuhi,ananibless cha moto.
Hapoi wala haboi,huyu mtoto kiboko
Naogeshwa kwa iliki,nipo deep balaa!!
 
Back
Top Bottom