Tungo tata

Tungo tata

Adilinanduguze2

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
1,386
Reaction score
1,919
Naomba mtu aniandikie maana 5 tofauti ya sentensi ifuatayo:

"Mau kampigia mpira Said"
 
mau kampiga said na mpira
mau kapiga mpira kuelekea kwa mau
 
Kwanza angalizo, majina mau na said lazima yaanze kwa herufi kubwa ktk sentensi yoyote yaani Mau na Said.
 
Mau kapiga mpira kuelekea kwa said,
Mau kampiga Saidi kwa kutumia mpira,
Mau kamsaidia Saidi kupiga mpira,
 
Back
Top Bottom