Adilinanduguze2 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 1,386 Reaction score 1,919 Feb 16, 2015 #1 Naomba mtu aniandikie maana 5 tofauti ya sentensi ifuatayo: "Mau kampigia mpira Said"
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,811 Reaction score 49,053 Feb 16, 2015 #2 mau kampiga said na mpira mau kapiga mpira kuelekea kwa mau
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 196 Feb 16, 2015 #3 Adilinanduguze said: Naomba mtu aniandikie maana 5 tofauti ya sentensi ifuatayo mau kampigia mpira said Click to expand... mau karusha pasi kwa said mau kampiga said kwa kutumia mpira mau kapiga mpira badala ya said mau kapiga mpira kwenda kwa said
Adilinanduguze said: Naomba mtu aniandikie maana 5 tofauti ya sentensi ifuatayo mau kampigia mpira said Click to expand... mau karusha pasi kwa said mau kampiga said kwa kutumia mpira mau kapiga mpira badala ya said mau kapiga mpira kwenda kwa said
B bagamoyo JF-Expert Member Joined Jan 14, 2010 Posts 24,941 Reaction score 28,869 Feb 17, 2015 #4 Kwanza angalizo, majina mau na said lazima yaanze kwa herufi kubwa ktk sentensi yoyote yaani Mau na Said.
Kwanza angalizo, majina mau na said lazima yaanze kwa herufi kubwa ktk sentensi yoyote yaani Mau na Said.
Temu Son JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 251 Reaction score 61 Feb 17, 2015 #5 Mau kapiga mpira kuelekea kwa said, Mau kampiga Saidi kwa kutumia mpira, Mau kamsaidia Saidi kupiga mpira,
Mau kapiga mpira kuelekea kwa said, Mau kampiga Saidi kwa kutumia mpira, Mau kamsaidia Saidi kupiga mpira,