nentewene Senior Member Joined Jun 9, 2017 Posts 144 Reaction score 94 Jan 3, 2024 #1 tena sioni aibu.. kukutaja hadharani.. wew wangu tabibu ..tamu yangu kitandani.. mke wangu mahabubu.. hebu tuache utani.. kwako wew -mimi bubu,nabaki kukutamani.. kila kitu nahusudu ... nje hadi ndani
tena sioni aibu.. kukutaja hadharani.. wew wangu tabibu ..tamu yangu kitandani.. mke wangu mahabubu.. hebu tuache utani.. kwako wew -mimi bubu,nabaki kukutamani.. kila kitu nahusudu ... nje hadi ndani