Tunguli zilizokutwa Jamhuri ni za timu gani?

Tunguli zilizokutwa Jamhuri ni za timu gani?

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
Siku ya mechi ya Polisi Moro na Simba zilikutwa tunguli za kishirikina uwanjani, je zilikuwa za timu ipi kati ya Simba na Polisi?

Wengine wanasema za polisi wengine wanasema za Simba walipoona mashabiki wameziona members wa Simba wakakimbilia kuzitoa.

Ukweli ni upi wadau?
 
Si walisema kuwa zilikuwa za Simba tena nasikia wenyewe kwa wenyewe walitaka kuchapana kati ya SIMBA UKAWA na wale SIMBA AVEVA!!!!!!
 
Za Simba hizo. Hata Stand United wamewakimbia kufuatia vitendo vya kishirikina.
 
Siku ya mechi ya Polisi Moro na Simba zilikutwa tunguli za kishirikina uwanjani, je zilikuwa za timu ipi kati ya Simba na Polisi?

Wengine wanasema za polisi wengine wanasema za Simba walipoona mashabiki wameziona members wa Simba wakakimbilia kuzitoa.

Ukweli ni upi wadau?

Hueleweki unachokisema...swali unajiuliza na nunajijibu mwenyewe....Umesema mwenyewe mashabiki walivyoona...member wa simba wakaenda kuzitoa....kwa hiyo kwa madai yako ni za simba....

Haya tumekusikia...nenda kakojoe ukalale
 
Hizo zitakuwa za simba ushindi wao huwa wanategemea sana uchawi
 
Za Simba hizo. Hata Stand United wamewakimbia kufuatia vitendo vya kishirikina.
Sasa kama wamekimbia, Simba haitakuwa na mpinzani siku hiyo? Iweje wewe unacheza nyumbani kwako halafu ukimbie tena?
 
Huwezi kuwatofautisha simba na ushawi, ni zakwao kwa asilimia mia 100
 
Back
Top Bottom