wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
Siku ya mechi ya Polisi Moro na Simba zilikutwa tunguli za kishirikina uwanjani, je zilikuwa za timu ipi kati ya Simba na Polisi?
Wengine wanasema za polisi wengine wanasema za Simba walipoona mashabiki wameziona members wa Simba wakakimbilia kuzitoa.
Ukweli ni upi wadau?
Za Simba hizo. Hata Stand United wamewakimbia kufuatia vitendo vya kishirikina.
Hizo zitakuwa za simba ushindi wao huwa wanategemea sana uchawi
Sasa kama wamekimbia, Simba haitakuwa na mpinzani siku hiyo? Iweje wewe unacheza nyumbani kwako halafu ukimbie tena?Za Simba hizo. Hata Stand United wamewakimbia kufuatia vitendo vya kishirikina.
Sasa kama wamekimbia, Simba haitakuwa na mpinzani siku hiyo? Iweje wewe unacheza nyumbani kwako halafu ukimbie tena?