Tunisia: Klabu ya Soka yafungwa kwa Ukata, Wachezaji 32 Wahamia Ulaya

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Rais wa klabu ya #Ghardimaou, Jamil Meftahi, amesema wameshindwa kulipa wachezaji wao kwa sababu #Tunisia iko katika mgogoro wa kiuchumi hali iliyosababisha Wachezaji hao kuzamia Ulaya

Nchi hiyo ni kituo kikubwa cha wakimbizi wanaosafiri kwa meli kwenda Ulaya. Rais #KaisSaied alikataa msaada wa dola za Marekani Bilioni 1.9 kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa sababu unajumuisha kupunguza matumizi


............


A Tunisian football club has suspended its activities after 32 of its players emigrated to Europe.

The fourth-division Ghardimaou club's president, Jamil Meftahi, said his players had left either by sea or to Serbia before illegally crossing the border to other European countries.

Tunisians did not need a visa for Serbia until last November.

The club president said he could not pay the players - with Tunisia in the grip of an economic crisis.

The country is a major departure point for ships carrying migrants to Europe.

President Kais Saied has rejected a $1.9bn (£1.5bn) rescue package from the International Monetary Fund (IMF) because it involves spending cuts.
Article share tools


Source: BBC
 
Timu ya daraja la ngapi?

halafu huyo pimbi aliukataa huo msaada kwa sababu nyingine au ndio hiyo hiyo ya kupunguza matumizi, kama ni kupunguza matumizi ni kuonesha kuna biinadamu wabinafsi mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…