Tunisia: Rais awafuta kazi Majaji 57, awatuhumu kulinda magaidi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Hali ya Demokrasia na Utawala Nchini Tunisia inaendelea kuwa tata baada ya Rais Kais Saied kuwafuta kazi Majaji 57 akiwatuhumu kwa Ufisadi na kulinda Magaidi

Rais Saied ambaye mbali na kuvunja Bunge liliyochaguliwa na Wananchi, kuweka kando Katiba ya Mwaka 2014 na kuingilia Tume Huru ya Uchaguzi naamesema aliwapa nafasi kadhaa na kutoa onyo kwa Mhimili wa Mahakama kubadilika

Awali, Wananchi walionekana kuunga mkono maamuzi ya Rais Saied, lakini hasira dhidi yake imekuwa ikiongezeka kutokana na mfumuko wa bei, changamoto ya Ajira na kudorora kwa Huduma za Kijamii

========

Tunisia’s president sacked 57 judges on Wednesday, accusing them of corruption and protecting “terrorists”, as he seeks to remodel the country’s political system after consolidating one-man rule.

In a televised address President Kais Saied said he had “given opportunity after opportunity and warning after warning to the judiciary to purify itself”. Hours later, the official gazette published a decree announcing the dismissals.

Among those sacked was Youssef Bouzaker, the former head of the Supreme Judicial Council, which Saied dissolved in February.

The council had acted as the main guarantor of judicial independence since Tunisia’s 2011 revolution and the move fuelled accusations that Saied was interfering in the judicial process.

Another prominent casualty of the purge was Bachir Akremi. Some political activists say the judge is too close to the Ennahda party and accuse him of stopping cases against it. Ennahda and Akremi both deny the allegations.

Last July, Saied dismissed the government and seized executive power, before setting aside the 2014 constitution and dismissing the country’s elected parliament.

He has been ruling by decree ever since, claiming he needed to take action to save Tunisia from crisis. Initially, his moves appeared to win public support after years of economic stagnation, political paralysis and corruption, but public anger is growing amid high inflation and unemployment, and declining public services.

Saied, who has also taken control of the once independent electoral commission, has said he will introduce a new constitution this month that put it to a referendum in July.

However, nearly all of Tunisia’s political parties have rejected the move along with the powerful UGTT labour union.

The UGTT said this week that public sector workers would go on strike on June 16, posing the biggest direct challenge to Saied’s power grab so far.

Source: Al Jazeera
 
Mwamba angekuwepo sheria ya kuwalinda majaji angepiga kiberiti maana alishawahi kusema " haiwezekani nikuteue halafu sina mamlaka ya kukuondoa" siku anawaapisha majaji, tangu hapo walikuwa wanamtumikia mkuu wa malaika kwa woga bila weledi
Na siku 1 mbele ya majaji hao hao akasema Kuna mihimili mitatu ya Dola lkn Kuna mihimili mmoja ambao umejichimbia chini zaidi kuliko mihimili mwingine na amao hua mhimili ndio hua unatafuta Fedha kwa ajili ya kuendesha mihimili hio kingine iliyobaki.

Ndipo Nilijua hapa tuna mtu anaejua kukariri periodic table tu, mengine yote Ni mweupe kabisa.
 
Hapa ndio utagundua ile arab uprising ilikua chini ya wazungu,
Hivi huyo wanashindwaje kumuondoa hao wananchi?
Wazungu si watu wazuri
 
Hali ya Demokrasia na Utawala Nchini Tunisia inaendelea kuwa tata baada ya Rais Kais Saied kuwafuta kazi Majaji 57 akiwatuhumu kwa Ufisadi na kulinda Magaidi

Rais Saied ambaye mbali na kuvunja Bunge liliyochaguliwa na Wananchi, kuweka kando Katiba ya Mwaka 2014 na kuingilia Tume Huru ya Uchaguzi naamesema aliwapa nafasi kadhaa na kutoa onyo kwa Mhimili wa Mahakama kubadilika

Awali, Wananchi walionekana kuunga mkono maamuzi ya Rais Saied, lakini hasira dhidi yake imekuwa ikiongezeka kutokana na mfumuko wa bei, changamoto ya Ajira na kudorora kwa Huduma za Kijamii

========

Tunisia’s president sacked 57 judges on Wednesday, accusing them of corruption and protecting “terrorists”, as he seeks to remodel the country’s political system after consolidating one-man rule.

In a televised address President Kais Saied said he had “given opportunity after opportunity and warning after warning to the judiciary to purify itself”. Hours later, the official gazette published a decree announcing the dismissals.

Among those sacked was Youssef Bouzaker, the former head of the Supreme Judicial Council, which Saied dissolved in February.

The council had acted as the main guarantor of judicial independence since Tunisia’s 2011 revolution and the move fuelled accusations that Saied was interfering in the judicial process.

Another prominent casualty of the purge was Bachir Akremi. Some political activists say the judge is too close to the Ennahda party and accuse him of stopping cases against it. Ennahda and Akremi both deny the allegations.

Last July, Saied dismissed the government and seized executive power, before setting aside the 2014 constitution and dismissing the country’s elected parliament.

He has been ruling by decree ever since, claiming he needed to take action to save Tunisia from crisis. Initially, his moves appeared to win public support after years of economic stagnation, political paralysis and corruption, but public anger is growing amid high inflation and unemployment, and declining public services.

Saied, who has also taken control of the once independent electoral commission, has said he will introduce a new constitution this month that put it to a referendum in July.

However, nearly all of Tunisia’s political parties have rejected the move along with the powerful UGTT labour union.

The UGTT said this week that public sector workers would go on strike on June 16, posing the biggest direct challenge to Saied’s power grab so far.

Source: Al Jazeera
Huyu alishaanza kuwa Dikteta. Wananchi wakiingia barabarani na kuamua kumtoa Madarakani kwa Aibu Kama alivyofanywa Gaddafi,watu wataanza Kuilaumu Marekani. Huu ujinga wa ONE MAN SHOW Ni wa enzi za Ujima. Unawaondoa majaji 57 wewe Kama Nani? Yaani Wasomi 57 Kama majaji wasione Magaidi walipo lakini wewe mmoja uwaone? Yaani yeye Rais peke yake ameona uovu ambao majaji 57 wameshindwa kuuona?

Hii ya one Man Show ndio iliyompeleka Kuzimu Mzee Cha Chatle.
 
Back
Top Bottom