third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
👉 AFYA NI TUNU👈
❗CHUKUA NA HII👇👇👇👇
🔞walau mara 2 kwa wiki uwe unafanya hako kamchezo hapo😀usikubali vitunguu na nyanya ziharibike hata siku 1❗
🌹🌹Faida zake🌹🌹
🧅🧅🧅FAIDA ZA KITUNGUU MAJI🧅🧅🧅
🌺🌺kuuwa bacteria
🌺🌺 dawa ya vidonda
🌺🌺dawa ya upere
🌺🌺dawa ya Maumivu kwenye ngozi
🌺🌺dawa ya kifua
🌺🌺dawa ya kikohozi
🌺🌺dawa ya mapafu
🌺🌺dawa ya vidonda kifuani
🌺🌺dawa ya njia za upumuaji
🌺🌺dawa ya mishipa
🌺🌺dawa ya uvimbe
🌺🌺Dawa ya magonjwa ya Figo
🌺🌺dawa ya kujaa maji kwenye viungo mbali mbali
🌺🌺dawa ya mawe kwenye njia za mkojo
🌺🌺dawa ya asidi kwenye mkojo
🌺🌺dawa ya sumu mbali mbali
🌺🌺dawa ya minyoo
🌺🌺dawa ya mawe kwenye damu
🌺🌺kurekebisha sukari kwenye damu
🌺🌺dawa ya kisukari
🌺🌺dawa ya kansa
🌺🌺kuongeza kinga mwilini
🌺🌺kuimarisha mwili
🌺🌺kusaidia uyeyushaji wa chakula
🌺🌺dawa ya ini
🌺🌺dawa ya kongosho
🌺🌺dawa ya tumbo
🌺🌺Dawa ya utumbo
🌺🌺dawa ya macho
🌺🌺dawa ya vidonda kwenye ngozi
🌺🌺kuimarisha nywele
🌺🌺dawa ya moyo
❗Kitunguu maji kinapaswa kuliwa kikiwa kibichi
✍ unapokaanga kisiungulie sana
👉kitungumaji ➕kitungusaumu ➡ dawa nzuri ya kansa ya tumbo
📌Unaweza pia kutumia mchanganyiko wake unaopatikana kwa kukatakata vitunguu maji vingi ,kuvipika halafu uvitwange ili upate donge,changanya na vijiko viwili vya asali ,pia vinaweza kuokwa ndipo vinakuwa na utamu lakini nguvu zake hupungua.
✍Kwa wale ambao wana mafua wanaweza kukatakata kitunguu maji na kunusa harufu yake(haya yanafanyika kwa watoto wadogo wasioweza kukila).
❗Kinatibu magonjwa ya njia za kupumua,kinakata kikohozi,kinapambana na vijimea vya magonjwa,kinaasaidia wagonjwa wa pumu(athma),kinazuwia magonjwa ya mishipa ya moyo,kinapunguza mafuta katika damu(choresterol), ni kinga kwa magonjwa ya figo ,kisukari na kansa hasa kansa ya utumbo mpana.
By
Dr Asili kwanza
WhatsApp 0743840595.