Tunza kitambulisho chako cha Utaifa (Kitambulisho cha NIDA) hata mtandaoni ili kuepuka usumbufu

Tunza kitambulisho chako cha Utaifa (Kitambulisho cha NIDA) hata mtandaoni ili kuepuka usumbufu

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Huduma Nyingi, kupata Tanzania ni Kama Unakwenda Kujikomba.

Yaani unaweza kua una Namba ya NIDA, na Kuna Baadhi ya Campuni Binafsi huwa awatambui hizo namba mpaka uwapeleke Copy ya Kitambulisho,

Ulienda NIDA Kuomba Copy ya Kitambulisho utapewa Sounds au Wanakwambia haiwezekani.

Kitambulisho chako kitunze online maana Kuna Mitandao websites zinazotunza Documents,

Maana NIDA ukiwapa Copy shida unayo.

Pia, taasisi nyingi za Serikali ili upate huduma ni lazima utoe pesa Yaani RUSHWA haiwezi kuisha
 
Back
Top Bottom