Tunza mahesabu na mali yako dukani kwa kutumia software Bora na ya kisasa zaidi

chapashuka

Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
10
Reaction score
24

Nimeiona hii sehemu nafikiri sio mbaya nikiileta hapa kwa sisi wafanyabiashara ambao usimamizi ni mdogo kutokana na majukumu mengine

System ya Candela ambayo inatumia alama maalum za kutambua bidhaa (yani barcode) jinsi inavyosaidia duka ambalo lina bidhaa nyingi kwa ajili ya usimamizi wa biashara. Wengi tunaomiliki maduka huwa hatuna kumbukumbu ya papo hapo juu ya mali iliyopo dukani. Na uhakika wa hesabu za mali dukani maranyingi huwa ni mashaka.



System hii inawezesha biashara kuwa na utaratibu mzuri kusimamia manunuzi, orodha ya mauzo na kuhakiki kiasi cha mali/mzigo uliopo dukani papo hapo. Pia inaweza kutumika ndani ya duka moja ama kwa ajili ya maduka ya Supermarket.

Inatofautisha muuzaji, mauzo aina tofauti na hesabu zake pia hela pamoja na malipo yanayokatwa moja kwa moja benki (visa cards) na TRA.



Inaweza kufuatilia mauzo yanyoendelea ndani ya maduka mbalimbali na Inarahisisha usimamaizi wa biashara rejareja. Kuna matoleo maalum ya Candela iliyoundwa kwa ajili nguo na viatu, biashara ya mgahawa (Restaurant) na maduka ya dawa (pharmacies)


http://www.kaymu.co.tz/candela-retail-management-system-71181.html Bei yake inaanzia Shillingi millioni moja na laki nne. Wanapatikana kupitia simu namba 0768096863
 
Tumekupata mkuu ila jamaa bei yake sio mchezo kuimudu kwa sisi labda kama kuna utaratibu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…