snead Member Joined Jun 10, 2015 Posts 79 Reaction score 23 Nov 7, 2023 #1 Tunza Nyayo na Taraji Coldpress Virgin Coconut Oil Kipindi hiki cha mvua maeneo mengi yanatuamisha maji.. Ili kupita eneo moja kwenda lingine inakulazimu kukanyaga maji.. Hivyo ufanya miguu yako kuwa hatarini na kupata fungus Linda miguu zidi ya fungus kwa kupaka mafuta ya nazi ya Taraji Coldpress Virgin Coconut Oil Place Your Order Call/Whatsapp +255714206306
Tunza Nyayo na Taraji Coldpress Virgin Coconut Oil Kipindi hiki cha mvua maeneo mengi yanatuamisha maji.. Ili kupita eneo moja kwenda lingine inakulazimu kukanyaga maji.. Hivyo ufanya miguu yako kuwa hatarini na kupata fungus Linda miguu zidi ya fungus kwa kupaka mafuta ya nazi ya Taraji Coldpress Virgin Coconut Oil Place Your Order Call/Whatsapp +255714206306
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,230 Reaction score 6,742 Nov 7, 2023 #2 Ukiacha nyayo, je kwa baridi hili la sasa, yanafaa kwa matumizi mengine?😊, elewa neno "mengine"
G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 3,249 Reaction score 7,948 Nov 7, 2023 #3 hujasema unapatikana wapi? ila nahisi upo dar, hv kwa nn huwa mnadhani wenye mahitaji ni watu wa dar tu, au dar ndo kiini cha shida na matatizo?
hujasema unapatikana wapi? ila nahisi upo dar, hv kwa nn huwa mnadhani wenye mahitaji ni watu wa dar tu, au dar ndo kiini cha shida na matatizo?
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Nov 7, 2023 #4 Just Distinctions said: Ukiacha nyayo, je kwa baridi hili la sasa, yanafaa kwa matumizi mengine?😊, elewa neno "mengine" Click to expand... Siku moja nimekamatia mdada kwake nikawa natafuta mafuta Kwa ajili ya hayo matumizi "mengine", si nikakutana na sijui mafuta ya nywele Yale. Niliwashwa balaa ☹️☹️☹️
Just Distinctions said: Ukiacha nyayo, je kwa baridi hili la sasa, yanafaa kwa matumizi mengine?😊, elewa neno "mengine" Click to expand... Siku moja nimekamatia mdada kwake nikawa natafuta mafuta Kwa ajili ya hayo matumizi "mengine", si nikakutana na sijui mafuta ya nywele Yale. Niliwashwa balaa ☹️☹️☹️
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 7, 2023 #5 Ahsante kwa taarifa...
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Nov 7, 2023 #6 Daaah kisa kisigino ndio uze elfu 70? Hapana