Maalim ukwaju
Member
- Feb 2, 2026
- 7
- 5
Tupigie 0787331510, Mkuu tutakufikishia mpaka nyumbani kwakoNimetafuta sana haya mafuta, niliwahi kuyanunua kusema kweli ni mazuri mnoo hayana kemikali na ni asili hongereni nataka tena lita moja , mtoto wangu alipata changamoto ya ngozi baada ya kumpaka yale mengine lakini haya yalimsaidia sana.
Ahsante sana MkuuTupigie 0787331510, Mkuu tutakufikishia mpaka nyumbani kwako
Aki JF noma sana mkuu, jf ni free stress zone.Hatar sana yaan unaanzisha mada unajijibu mwenyewe
Wote waliojibu had mwenyewe status MEMBER au NEW MEMBER kwa hyo hakuna hata EXPERT MEMBER anayeyajua haya mafuta?
SHUKRANI Sana ndugu yanguNami nayahitaji maana nimesikia jamaa wanasema mazuri kwa watoto
Hatar sana yaan unaanzisha mada unajijibu mwenyewe
Wote waliojibu had mwenyewe status MEMBER au NEW MEMBER kwa hyo hakuna hata EXPERT MEMBER anayeyajua haya mafuta? Karibu tusapoti mkuu , bila shaka yoyote naomba nikupe free ujionee mwenyewe ubora wa mafuta haya utakuwa shuhuda , ahsante
Karibu mkuu haya mafuta hata wewe ukiyatumia utaelewa kwanini wanayoyajua wanayasifia nitakuwa radhi nikupe free uwe shahidi wa hakiAki JF noma sana mkuu, jf ni free stress zone.
karibu mkuu hakuna shaka yoyote hawa ni wametumia mafuta yetu nakusihi nawe uwe sehemu yao karibu sanaHatar sana yaan unaanzisha mada unajijibu mwenyewe
Wote waliojibu had mwenyewe status MEMBER au NEW MEMBER kwa hyo hakuna hata EXPERT MEMBER anayeyajua haya mafuta?