[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maeneo yote
yenye nywele yawe smooth na nadhifu kama upara kwenye avatar yako vile itapendeza zaid...
Kwan kuna madhara nisipofanya ivo?,, nauliza tu sihusiki kwa loloteni vizuri kupatunza vema mahali panapoota nywele katika sehemu mbalimbali za miili yetu.
ni muhimu kupapenda na kupajali kwa kupafanyia usafi mara kwa mara kwa kunyoa lakini sio kila siku, ili pawe nadhifu katika uasili wake.
na ni vizuri zaidi kutumia vifaa vipya vya kunyolea kama vile nyembe ambazo ni bora.
kutumia vifaa butu na kuyakwangua kila siku kama vocha ni kuyakomaza sana maeneo hayo na kuyafanya yawe meusi mno, yenye sugu na kwa baadhi yanatisha kwasabb hayatunzwi vema.
ni muhimu kuzingatia hilo [emoji205]
hakuna madhara yoyote kwako binafsi, kwakua zimewekwa huko ziliko kwa kazi maalumu kadiri ya muumbaji,Kwan kuna madhara nisipofanya ivo?,, nauliza tu sihusiki kwa lolote
Kama ufaham ndo nakwambia ivosifahamu na sina maoni
Anhaa kumbe ni ivo nikajua ni shida kiafya sababu afya ndio mtaji tofauti na apo wacha ziendelee kumeahakuna madhara yoyote kwako binafsi, kwakua zimewekwa huko ziliko kwa kazi maalumu kadiri ya muumbaji,
ila inaweza kua kero, kitisho au usumbufu kwa wengine wanaohusika au kuruhusiwa kuyazuru..
Vuzi la mkund anakunyoa nani?...au unanyoaje!?...hebu Acha masihara mkuumaeneo yote
yenye nywele yawe smooth na nadhifu kama upara kwenye avatar yako vile itapendeza zaid...