kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Wakuu sio vibaya tukatumia frusa hii kujuzana na kupeana uzoefu wa mawili matatu juu ya tunzo za mtv leo kule south africa
Najuwa diamond ni mmoja wa wasanii pekee kutoka tanzania atakayeshiriki
Swali:Tv gani watarusha live?
Swali:Itakuwa saa ngapi time za bongo?
Swali:king'amuzi gani kitahusika?
Ni maswali marahisi kwa baadhi ya watu lakini yakijibika kiufasaha yatasaidia member wengine.