kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Wakuu sio vibaya tukatumia frusa hii kujuzana na kupeana uzoefu wa mawili matatu juu ya tunzo za mtv leo kule south africa
Najuwa diamond ni mmoja wa wasanii pekee kutoka tanzania atakayeshiriki
Swali:Tv gani watarusha live?...MTV
Swali:Itakuwa saa ngapi time za bongo?.....saa mbili kamili usiku
Swali:king'amuzi gani kitahusika?...dstv
Ni maswali marahisi kwa baadhi ya watu lakini yakijibika kiufasaha yatasaidia member wengine.
Mkuu ni MTV AMA ( African Music Awards) tonight at 20:00 CAT, huku kwetu ni 21:00.Wadau kwa mujibu wa MTV base wamesema wataonyesha mama tonight 20:00 sasa ebu ng'amueni hiyo mtv base ipo south au wapi?
Startimes weka MTV base
Pamoja mkuu hivi dstv wanahiyo mtv base?
Mkuu ni MTV AMA ( African Music Awards) tonight at 20:00 CAT, huku kwetu ni 21:00.
wanayo, ila uwe umelipia premier package 135,000
MTV, MTV Base, BET International na zingine ....kijana wetu Diamond ndo atakaefungua show!