kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
- Thread starter
-
- #21
Aisee hii mtv base naona Top 5 au sio yenyewe? Mbona halianzi?
Ni MTV Base saa 3 usiku, dstv channel 322
Jaman link ya live streaming vipi wengine hatuna kisimbusi tunatumia tecno n3
Aisee hii mtv base naona Top 5 au sio yenyewe? Mbona halianzi?
Inaanza show
Show inaanza sasa wanaoanza ni mafiki zolo na si diamond
Hivi hawa watu walosema dimond anaanza ni kina nani?
wengine tutajulia humuhumu maana hatuna DSTV
Aaaaah kumbe,ngoja nichekiMbona hata zuku ipo binamu??
Mbona hata zuku ipo binamu??
Bab tale