Mkuu Kama hadi jina najiita popoma halafu unataka tuonane ni kweli???Hivi unafikiri hili ndio jina langu la kuzaliwa you're not seriousZa mipango ya hapa na pale wadau wenzangu mada ni hii tufanye mpango tuonane sisi wana jf ili tujuane ni ombi tu sorry kama nimekosea nawasilisha
Mapango ya ambon Tanga.Muonane wapi
Wale majamaa walikuwa wanawindwa washakamatwaMapango ya ambon Tanga.
Unonio mkuuMuonane wapi
Mida gani best niwahi bajajiUnonio mkuu
Haaaaaaa kitambo mbn ,,alipelekwa jamaa mmoja uyo saiv wamempandisha nacheo Aiseeee.Wale majamaa walikuwa wanawindwa washakamatwa