Hitta Mfarisayo
New Member
- Jun 13, 2016
- 3
- 5
Kenya tunaambiwa Tanzania ina wanawake wazuri wa kuoa. Nikifwatilia mada humu waTanzania wanapitia yaleyale tunayoyapitia na wanawake Kenya. Maybe Rwanda and Ethiopia is the place to go
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan huko kwenu wakisii wameisha kama wapo vuta mmoja weka ndaniKenya tunaambiwa Tanzania ina wanawake wazuri wa kuoa. Nikifwatilia mada humu waTanzania wanapitia yaleyale tunayoyapitia na wanawake Kenya. Maybe Rwanda and Ethiopia is the place to go
We! We! We!! Usijaribu mkuu..Nataka nioe Kenya
Kuna binti wa kisomali yupo kenyaWe! We! We!! Usijaribu mkuu..
Kama na wewe hauna vinasaba vya kisomali mkuu nakushauri kimbia haraka sana, kama umeshapiga piga we ridhika na hicho kidogo ulichopata.Kuna binti wa kisomali yupo kenya
Nipe AB kidigo mkuu.