Pre GE2025 Tuombe Mwaka 2024 Uwe ni Mwaka wa Mageuzi ya Kweli ya Kidemokrasia ya Kweli Tanzania. Tume Huru, Uchaguzi Huru na wa Haki! Happy New Year!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jamaa wanarithishana nchi kama vile hakuna watanzania wengine
 
Unaandika tu kufurahisha genge, hayo mageuzi unayoyaomba hayawezi kupatikana. Sababu unaijua na wengine wanaijua:CCM.

Kwa jicho lingine andishi lako hili limekaa kinafiki sana, kwakuwa wewe ni muumini wa ile falsafa kwamba ccm itatawala milele. Sasa unaandika haya ili iweje? Wewe na ccm wenzako mtaweza kukata mirija ya fedha ya watanzania inayowashibisha? Maana ikija tume huru na katiba nzuri mtaondoka madarakani. Kwa sasa endeleeni kufurahia na kushibisha matumbo yenu.

Njia nzuri ya kuleta hayo unayoyaomba ni maandamano ya wananchi yasiyokoma.
 
Nlipoona neno "tuombe" nkaona ni busara kuwachia waombaji wamalizie kusoma.
 
Wengi wanaweza wasikuelewe kwa sababu utadhani wanaishi sudani . Kwa Tanzania CCM hawapendi kuona mambo ya Katiba Mpya wala tumehuru
 
Tume huru, katiba na mengineyo ambayo yanahatarisha uwepo wa CCM ni ngumu kupata, labda maandamano yasiyo na kikomo yafanyike au wale washika bunduki wasiokua wanufaika wa mfumo,waamue.
Wengi hawatakuelewa ila CCM kwa Tanzania janga zaidi ya Corona. Hawapendi usawa wa kiushindani hivyo kukataa milele tumehuru na Katiba Mpya bora kwa nchi yetu.
 
Sahihi kabisa
 
Sahihi kabisa,kwa Tanzania CCM ni wabaya bora ukaishi polini ma Simba wanatumia usalama wa taifa na majeshi kujilindia matumbo yao milele
 
Kishauri chama chako kisiwatumie wajumbe kuwapata wagombea maana kinawanyima watendaji wazuri haki ya kugombea kwa unazi wa wajumbe
 
Huwa najiuliza hivi huko mliko hamuishi na Hawa watu wa CCM mbona wanasemaga wazi kuwa hata Zanzibar hawawezi kuiacha kamwe iende chama kingine mara mia jeshi lote la Tanzania lihamie Zanzibar kuiokoaa CCM ibaki madarani milele
Utafanyaje wananchi wenyewe ni waoga?
 
Paschal ni jitu jinga linaponda jitihada za upinzania na kusifia Zitto kwa sababu linajua Zitto ni mnafiki aliyejificha kwa ngozi ya upinzani
 
Nawe pia mkubwa!
 
Kishauri chama chako kisiwatumie wajumbe kuwapata wagombea maana kinawanyima watendaji wazuri haki ya kugombea kwa unazi wa wajumbe
CCM ukiwa kijana huwezi kugombea ukapita wanataka majizi yalioibia nchi ndo yagombee ili yahongee wajumbe mapesa. Ni hatari sana CCM kuwepo Tanzania japo wanatumia majeshi yetu kujibakiza madarakani
 
Hivi Paschal Rais magufuli alipomuita mwenye njaaa kwa maana ya jinq lake hakudanganya. Leo unaandika haya maupuuzi wakati unajua CCM chama chako japo hunufaiki nacho hawapo tayari kwa mabadiriko ya Katiba Mpya na bora kwa maslahi ya nchi. Unamsifiaga Zitto kwa sababu unajua Zitto si mpinzani Bali mnafiki anayetumiwa na CCM kww kofia ya upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…