Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Ntake Radhi, afu Excel gan haijuh hesabu hebu fafanua jibu lako kabla cjappeal!
Yes mdau ya watu wa M.Ahizo code ni za watu wa masters au?
Heri yako wewe unayesoma SKUL OF LAW kigurunyembe tichaz kolejiChuo cha kata.
Mbona unalumbana na Excel???Ntake Radhi, afu Excel gan haijuh hesabu hebu fafanua jibu lako kabla cjappeal!
Malengo tena!!! Shabaash! Alafu ckujua ka huwa kunaitishwa roll call humu ndan?mkuu vipi! nilikuwa na malengo sana na atu able. sema hana mahudhurio mazuri jf..ningemfikisha anakotaka!
Kanchokoza mwenyewe.Mbona unalumbana na Excel???
kama kawaida wadau tunaomba dua zenu kipindi hiki tunapoanza mitihani yetu ya kumaliza semester ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2013/2014,UDSM(Main Campus,DUCE & MUCE),tunaanza tarehe 3 mpaka 14 mwezi wa pili,Mungu ibariki UDSM.
Heri yako wewe unayesoma SKUL OF LAW kigurunyembe tichaz koleji