Tetesi: Tuondoke hatarivya siasa

Tetesi: Tuondoke hatarivya siasa

Bugals Edward

Member
Joined
Jan 13, 2018
Posts
37
Reaction score
7
Marekani ufurahi umekuza, na wanataka kujitegemea,,,,
Kaa subiri Shukrani, usiwaze vikwazo

Eti kuzuia mitumba ni kuzuia biashara huria? Wamemsaidia vya kutosha kumlisha, sasa eti wanataka wajilishe, baba anagoma "kujilisha ni wizi mkubwa" kumbe baba kaona atazuiliwa kula wala kuchukua chakula kile alichokipenda,

Afu kumbezee jinga hili,,, yaani linakula chakula kingi changu afu linanipa kidogo,,,
msimamo thabiti ndio muongozo wa mafanikio tunayoyataka,,,
Tuondoke siasani
 
Back
Top Bottom