Tuone Wote !!!πŸ€”πŸ€”

How sure are they kwamba hayo maeneo ni yenyewe kama yalivyo kwenye maandiko ?
Watu wanahifadhi historia na kuirithisha kutoka kizazi mpaka kizazi ndiyo sababu leo hii Kuna nyumba kigamboni unaambiwa ndiyo aliyojificha JK mkubwa wakati wa jaribio la mapinduzi,
 
Watu wanahifadhi historia na kuirithisha kutoka kizazi mpaka kizazi ndiyo sababu leo hii Kuna nyumba kigamboni unaambiwa ndiyo aliyojificha JK mkubwa wakati wa jaribio la mapinduzi,
Kabisa
Maana Historia Inatunzwa Halafu Pamoja Na Mabadiliko Lakini Eneo Litaendelea Kuwepo
 
sasa kwanini makao makuu ya kanisa letu yapo roma wakati yesu alizaliwa na kuishi huku ina maana alipomsimika petro kuwa juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu walikuwa wapo vatkani na sio israel hii historia kuna haja ya kuitunga upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…