Tuone Wote !!!πŸ€”πŸ€”

ile kengele ya kikatoliki umeshaipata?[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa Yale Maelezo Nakusanya Cash
Ninunue Kengele Ile, Ila Mwanzo Nilidhani Inauza Laki Kadhaa.
Kumbe Inahitaji Pesa Ndefu Mpaka Unachoka Na Huu Uchumi Wa Kati
 
Kwa Yale Maelezo Nakusanya Cash
Ninunue Kengele Ile, Ila Mwanzo Nilidhani Inauza Laki Kadhaa.
Kumbe Inahitaji Pesa Ndefu Mpaka Unachoka Na Huu Uchumi Wa Kati
Pole mkuu!Inauzwa bei ya gari?[emoji16]
 
Leo Speaker Ndiyo Alikuwa Anasema Amefika Haya Maeneo
 
Watu wanashangaa Elijah kushusha moto na wanamsifu bila kujua kuna wazee pale Sumbawanga wanaweza kushusha radi.

Wonders will never cease
Haa Haa Haa
 
Uyo mtu aliegeuzwa chumvi ruksa kutaste radha?
 
Watu wanashangaa Elijah kushusha moto na wanamsifu bila kujua kuna wazee pale Sumbawanga wanaweza kushusha radi.

Wonders will never cease
Ishu sio kushusha radi tu,hio radi inatoka kwa nani?Eliya alishusha moto kutoka kwa Mungu Muumba wa mbingu na nchi,na alishusha ili kuwaonyesha wale manabii 400 wa mungu Baali kwamba yupo Mungu wa kweli,na ule moto ulishuka ili kulamba sadaka na ukalamba hadi mawe na maji yaliyowekwa pale,sasa huyo mzee wa Sumbawanga anashusha radi ya mazingaombwe tu,kumbuka hata wachawi wa Pharaoh walibadili fimbo kuwa nyoka na waliiga mambo kadhaa aliyofanya Musa lakini baadae wao wenyewe walikiri kwamba hawawezi tena maana ule ulikuwa ni mkono wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…