Pole sana,Ni dunia isiyo na huruma kwa maskini. Mfumo umejaa watu wanaosema "tunatafuta wenye uzoefu," lakini hawampi yeyote nafasi ya kupata huo uzoefu. Mfumo unawafungia nje, halafu unawalaumu kwa kuwa nje.
Leo, wana njaa. Kesho, wana madeni. Kesho kutwa, hawana tumaini. Na wale waliowaangusha wanakaa juu wakiangalia, wakiwaambia "jaribuni tena."
View attachment 3239639
Yeah, ndiyo uhalisia....watu tujifunze kusimama wenyewe...Dunia haijawahi kuwa na huruma kwa yoyote.
Kila mmoja atalia kwa namna yake.
Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake ni swala la mda tuNi dunia isiyo na huruma kwa maskini. Mfumo umejaa watu wanaosema "tunatafuta wenye uzoefu," lakini hawampi yeyote nafasi ya kupata huo uzoefu. Mfumo unawafungia nje, halafu unawalaumu kwa kuwa nje.
Leo, wana njaa. Kesho, wana madeni. Kesho kutwa, hawana tumaini. Na wale waliowaangusha wanakaa juu wakiangalia, wakiwaambia "jaribuni tena."
View attachment 3239639
Hiyo siri matajari wanaijua sana, is why wanakuwa ruthless kwenye kutafuta maliDunia haijawahi kuwa na huruma kwa yoyote.
Kila mmoja atalia kwa namna yake.
Mkuu, sasa ushakuwa boss; muajiri ndugu yetu huyu. Anapitia magumu.Tatizo ni akili mgando, kutegemea one way kuajiriwa
Tema mate chini aise, maisha yana kupanda na kushuka. Ukibahatika kuyapata mapema usimuone mwingine kuwa hana akili.Miaka 10 hawezi kujiongeza si uzembe huu jamani
Najua kuna kupanda na kushuka lakini MIaka kumi hapana aisee,. Tatizo wasomi wengi wako na mentality za kuajiriwa hawawazi hata outside the box afungue hata kijibiashara mdogomdogo ndani ya miaka 10 huwezi kuwa vilevile,. Tena wengine wanasahau kabisa na kama walisomagaTema mate chini aise, maisha yana kupanda na kushuka. Ukibahatika kuyapata mapema usimuone mwingine kuwa hana akili.
That right , go hard or go homeUkitaka huruma rudi kwa mama yako.
Dunia haina huruma kwa mtu yeyote yule.
In the jungle of life salvation is largely on your hands.
You either go hard, go home or you die.
This world 🌍 is not for the weak and faint hearted.
Mkuu kuanzisha biashara sio rahisi kama kunywa maji...Mimi nakushauri acha kuwabeza mkuu haya maisha yana mengi aise.Najua kuna kupanda na kushuka lakini MIaka kumi hapana aisee,. Tatizo wasomi wengi wako na mentality za kuajiriwa hawawazi hata outside the box afungue hata kijibiashara mdogomdogo ndani ya miaka 10 huwezi kuwa vilevile,. Tena wengine wanasahau kabisa na kama walisomaga
Hakuna mahali nimebeza,. Huo ni uzembe na wanatakiwa waambiwe ukweli waache kutia hurumaMkuu kuanzisha biashara sio rahisi kama kunywa maji...Mimi nakushauri acha kuwabeza mkuu haya maisha yana mengi aise.
Ww una biashara gani mkuu?.Hakuna mahali nimebeza,. Huo ni uzembe na wanatakiwa waambiwe ukweli waache kutia huruma