Tuongee hili?Swali je Tume ya kuratibu na kurekebisha katiba haikwenda visiwani??

Tuongee hili?Swali je Tume ya kuratibu na kurekebisha katiba haikwenda visiwani??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Napata walakini Kuwa Tume ya Warioba haikwenda Zanzibar!!Na kama ilikwenda haikufanya kazi iliyowapeleka!Na kama iliifanya basi haikuwawakilisha mawazo yao kwenye Rasimu hii!!
Kama kweli waliandika kile kilichoelezwa na wanzanzibar iweje leo hawakubaliani na Rasi ya Katiba hii??Au wanataka kutuaminisha kuwa wazanzibar ni wakorofi??Au ni njia yakuulinda muungano kwa njia za kibabaishaji??Yote yanahitaji majibu magumu na siyo mepesi!!
 
Back
Top Bottom