TUONGEE KIUME: Mwanaume fanya yote ila usisahau kuupa mwili pole

Uwe nayo sasa hiyo pesa ya kuchomoa 50,000 ya pole ya mwili.
Kuna watu wanafanya kazi na mishahara yao haijawahi kutana hata mara moja.

Kibongo bongo hakuna tarehe mbaya kama za kupokea mshahara. Maana unakuta ushakopa mwezi mzima, kuna vya bili za kulipa, kuna wazazi/ndugu wanasubiri mgao. Unajikuta unadata kabisa.
 
Na kibaya zaidi Kuna wengine wakifa hawatapumzika, kuzimu kutawaka moto, wengine walioishi maisha ya Utakatifu na uaminifu kwenye maisha yao na ndoa zao ndo watapumzika.

Sometimes Muumba simuelewi kwanini aliweka Jehanamu/ kuzimu.

Kiufupi hapa duniani mwanaume hakuna kupumzika, mkeo inabidi umridhishe na at the same time ulete kitu mezani.

Ila wakati unajipoza, usisahau kujipoza na unaowapenda kama mkeo na watoto, mnakula pamoja na kufurahi pamoja, hii ndo upoozaji bora kwa mwanaume yeyote duniani.
 
Swadakta!
 
Mada nzuri..
 
Ushawahi kufika huko jahanamu au peponi?
 
Mwenye masikio ya kusikia na asikie,mwisho wa kunukuu.
 
Binafsi nimekuelewa sana mleta hoja, panapo nafasi jifurahishe.
 
Hiyo ratiba ya maskin[emoji1787][emoji1787]
Kajamba Nani[emoji120]
Nitajie mfanyakazi yeyote ambaye hafati hio ratiba ....

Niko na mjeda hapa Jilani aisee ,,anaenda kazin saa 10 usiku lugalo ,anarudi saa 4 usiku ...

The same to ...

Polisi
Wafanyabiashara kariakoo
Walimu
Nurse ndio usiseme hadi night shift
Doctor
Wanafunzi
Fundi ujenzi
Viwandani
Bandalini
Airport
Stand ya Mabus
Sheri
Askari magereza


Ndio maana barabara za dsm Ni daily Magari yanapita hata saa nane za usiku .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…