TUONGEE KIUME: Mwanaume fanya yote ila usisahau kuupa mwili pole

Hivi ni kunywa tuu, kula na kulala ndito njia mahususi za kuupa mwili pole?
Kuna njis moja muhimu sana umeiacha makusudi kuitaja!

Tena ni mwarobaini ya kupumbaza akili na mwili na kukuketea furaha tele moyoni mwako.

Na sidhani kama kuna njia nyingine kuizidi hiyo ambayo ni dawa mujarabu na maridhawa ya kuondoa sonona kabisa.
 
H
Hii hali inasikitisha na kukatisha tamaa Sana.
 
Njia ipi hiyo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…