Madrug Lords ni watu wanaojihusisha na kusafirisha ama kuuza madawa ya kulevya katika viwango vya juu...wenyewe ndio huwasambazia mapusher wa kitaa hivi vitu ,so yule jamaa anaeuza mtaani hajafika level za kuwa drug lord.
Madrug Lords ni kama kina marehemu Pablo wa columbia, El cgapo wa mexico aliefungwa jela, na wengine wengi tu wapo,
Post hii tunashare tabia na lifestlyle ya hawa watu binafsi nachojua wanapiga bata sana,
Karibuni