Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
Hybrid cars ninzuri zaidi kibongo bongoNa umeme wetu huu unaotetemeka kila muda😁😁
Umeme hauna shida. Gari inatembea km 300 kwa charge full. Kwa trip za town unaweza kuwa unacharge mara moja kwa wiki.Na umeme wetu huu unaotetemeka kila muda😁😁
Hizo hapo ni za 300-400km kwa full charge. Kwa matumizi ya kila siku zinafaa kabisa.Tusiongelee bei tuongelee umbali kiasi gani inaweza enda ikiwa full charge
Maana iyo vi ev vya low budget vingi huenda km150-300 km
Ev inayoenda umbali mkubwa nyingi ni bei juu sana
ivi kwa kodi za sasa, hybrid za very low budget ni kama tsh ngapiHybrid cars ninzuri zaidi kibongo bongo
Hybrid cars ninzuri zaidi kibongo bongo