Tupa kule Salama, huyu ndio Dj Sinyorita, muumba hapa aliumba

Na mimi naomba namba ya huyo bint mwingine picha ya pili
 
Mkuu Ruge aweze ana nini na mimi nishindwe nna nini? ruge abaki na Zamaradi tu
Usifanye mchezo wewe, unafkiri pale mawingu kuna manyangema wangapi wanammezea mate?
Hizi mambo labda samsun ndo anaweza akaweka ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…