Tupa kule Salama, huyu ndio Dj Sinyorita, muumba hapa aliumba

mbona wa kawaida sana, akiamka asbuhi unaweza kumkimbia huyo
 
shunie ntafutie no tafasali
Si uende insta kwenye page yake uingie insta direct jifanye unataka kumpa kazi ya udj ila zingatia uwe na muonekano sio sura kama masoud sura mbaya [emoji30]
 
Si uende insta kwenye page yake uingie insta direct jifanye unataka kumpa kazi ya udj ila zingatia uwe na muonekano sio sura kama masoud sura mbaya [emoji30]
he he he he naomba ufanye kwa niaba yangu naomba uwe mjumbe wangu

siku hizi kinachoangaliwa nichapaa mamaa sio sura
 
Mkuu wambeke,

Mishe vipi?

Hiyo kazi hauwezi achana nayo pamabana na watoto wa songea Mkuu.
 
Usifanye mchezo wewe, unafkiri pale mawingu kuna manyangema wangapi wanammezea mate?
Hizi mambo labda samsun ndo anaweza akaweka ligi
Manyangema wengi ila hawana mkwanja.

Kama una mkwanja wa kutosha hakika yule mtoto unang'oa kiulani tu Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…