Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
September 7 ya 1996
MGM Grand, USA
Pambano la Ndondi
Tyson v Bruce Seldon
Pambano liliisha ndani ya Sekunde 109
Tyson alishinda.
Wahudhuriaji kibao walikuwepo ma-Celebrities pia
Mfano:
New Edition
Run DMC
Gary Payton
Suge Knight
Tupac
Kwa uchache!
Baada ya ushindi wa Tyson, Tupac alikuwa anashangilia huku akitaja NGUMI 50 zimemtosha "50 Punches" akimaanisha Tyson kashinda kwa Ngumi 50! Baada ya pambano la Tyson, Suge na Pac walikuwa wanaenda Club kusheherekea ushindi.
Club ni 662 mali ya Suge.
Gari ilotumika ni BMW Black.
Usiku huu Saa 5 dk 15 ndo ma Beach boy walimshoot Pac.
Alikimbizwa University Medical Center
Alifanyiwa Operations kubwa 2
Ukiacha Mamake - Afen, walikuwepo pia Washkaji zake km Mc Hammer na Mwanaharakati Jesse Jackson
Kauli ya Mwisho ya Tupac ni "Nakufa, Nakufa!" Akiisema kwa Kimakonde "I'm dying, I'm dying" Police aliejaribu kumhoji yeye aliishia kuambiwa "UFCK YOU"
Live by the gun, die by the gun.
Kumbusha tukio lolote la Pac unalokumbuka