huyu waumini wake ni watu/dini gani? Bora yeye anajulikana siku ya kurudi!
Atasema mimi nimehamia Cuba, nyinyi ndio mnasema nimekufa, nyinyi ndio mme fake kifo changu, mimi sikutangaza kwamba nimekufa! Ukijiamulia kufungasha virago kutoka US kwenda Sumbawanga porini lazima ukaripoti polisi ya Marekani kwamba jamani ee, nahama, sifeki kifo, nahamia Sumbawanga porini!?marekani kufake kifo ni crime....................
marekani kufake kifo ni crime....................zimekuja argument nyingi juu ya kifo cha tupac lakini sidhani
akirudi anaenda jela
jamaani jamanii..
Binafsi nafagilia sana nyimbo zake ..
Natamani afufuke hata leo.lakinimwacheni apumzike jamani..
hii si mara ya kwanza kuona hapa jamvini mwaka jana 2011 si mlisema
amejificha sijui huko New Zealand.. Ni wengi tunampenda ila ni vema tumwache apumzike..R.I.P
Do you seriously think when people are dead, they can't rest in peace if people talk about them?
My point was let him rest in peace than making all this rumors about him .