Tupambane tujenge nyumba tuzipendazo, lakini tusisahau KUISHI

Mbao Tanzania

Senior Member
Joined
May 31, 2021
Posts
170
Reaction score
215
Ujenzi wa nyumba za kuishi wenyewe una mambo mengi. Wapo wanaojenga dream house zao, wengine wanajenga kujisitiri tu na wengine wanakarabati nyumba za urithi kwa lengo la kuishi nazo moja kwa moja.

Kwa vijana wanaojenga nyumba zao za kuishi lazima wanajinyima ili watoe kitu cha maana. Kibiriti cha kisasa kabisa chenye kila kitu. Yote kheri.

Jambo muhimu la kuzingatia, ujenzi wa kuunga unga hutumia muda mrefu na gharama kubwa. Inaweza kukatika miaka 5 hadi 10 ya kujinyima na kupambana. Huu ni umri kabisa.

Jenga. Jinyime. Pambana. Lakini ndani ya miaka hiyo usisahau kuishi. Jitahidi ule vizuri, jipendelee kimavazi na mitoko ya mapumziko japo mara moja moja. Kwa ufupi jitahidi kubalansi mambo, tumeelewana?

Sisi tupo tu na huduma zetu sio za kupita njia. Mbao tutakuuzia muda wowote na kwa namna yoyote uipendayo.
 
Sure
 
Wenye nyumba kali tutembee kifua mbele.
ziggyhousedesign-3.jpg
 
Back
Top Bottom