Don hizi ni zama za Chadema pale Ubungo NHC ile asubuhi maana mpaka saa moja na dk ishirini nilikuwa tayari nimeshampa Dr wa ukweli na Mnyika na Diwani wetu ushindi, hata akina mama waliokuwepo pale walichukia kile kitendo cha kukosekana kosekana majina yao na walijikuta wakisema ngoja tufanye mabadiliko maana hawa wanaona kila kitu ni haki yao, so utaona sura halisi ya mwelekeo wa watu