Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kiboko yao JWIla jichanganye kwenye 18 zao.
usilete matusi hapa hao ndio walinzi wetu wa usalama na amani ya nchi yetu pasipo na hao hatuwezi kuwa na amani katika nchi yetu Polisi ni muhimu sana katika jamii yetu .Haya majitu Kama masenge vile.
Hao wakulinde wewe ?usilete matusi hapa hao ndio walinzi wtu wa usalama na amani ya nchi ytu pasipo na hao hatuwezi kuwa na amani katika nchi yetu Polisi ni muhimu sana katika jamii yetu .
Ukiwa mahabusu,wanakulinda kwa uhodari woteHao wakulinde wewe ?
Watakulinda ukiwa Mahabusu tu.
Pole Mzee Mkavu.
Wajasiliamali hao mchezo.Ukiwa mahabusu,wanakulinda kwa uhodari wote
Hata mahabusu hawakulindi, kuna mtuhumiwa alishajiua mahabusu kwa kunywa sumu, mwingine kwa kujinyonga na dekio....Hao wakulinde wewe ?
Watakulinda ukiwa Mahabusu tu.
Pole Mzee Mkavu.
sasa ulitaka wakae nawewe 24/7...? hawana kazi nyengine zakufanya!Hata mahabusu hawakulindi, kuna mtuhumiwa alishajiua mahabusu kwa kunywa sumu, mwingine kwa kujinyonga na dekio....
Hii hadi uwe na D mbili kijanasasa ulitaka wakae nawewe 24/7...? hawana kazi nyengine zakufanya!
kitendo cha kumfunga mtu ni kulinda waliopo mtaani sio kumlinda yeye!
sasa nilichoandika mpk uwe na A saba ndo utaelewaHii hadi uwe na D mbili kijana
Wanachekesha na kufurahisha sana
Must have been high.