Tupate elimu kidogo kuhusu gari ya Alteza

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Hii ni gari aina ya toyota alteza. Gari hii kidogo naona soko lake linapotea kwa kasi sana sijajua tatzo ninini ila ambacho mlikua hamkijui katika gari hili ni kwamba. Wengi wanaopenda gari hizi wananunua sana four cylinder wakijua kwamba ndo wanapona katika swala la mafuta lakini kiukweli watu wengi asilimia 90 ya madereva hatujui kitu kimoja. Alteza yenye six cylinder ndio inayokunywa mafuta kidogo kuliko ya four cylinder.

Najua kuna watu watabisha sana lakin huo ndio ukweli na nikisema nmesema na sifuti. Alteza ndo gari pekee ambayo injin yake kimfumo na ulaji wa mafuta upo kinyume tofaut na gari zingne.

Hvyo ww kama una ndoto bado za kumilik hii ndinga ushauri wa bure tafta alteza six cylinder ndo utainjoy maisha yenye four ndo jini haina tofaut na brevis.

Sent using jamii forums mobile app
 
Na mimi nalijua hilo kwa sababu six ina horse power ndogo wakati four ina horse power kubwa,over
 
Alteza inashuka sana thamani sijajua chanzo nini,gari nzuri kuzidi ist na vits zinazokimbiliwa na wengi kwasasa mpaka wanaume.
 
Mnyama mtamu sana huyo,kuna hii iko dar ya mshkaji uwa naikubali sana

 
Kwa mfano wote mnalingana kimo, umri na mwili lakini mwenzako anaweza kubeba gunia ila wewe hauwezi.
Hihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,hii naiona hata kwenye masuala ya ulaji,unamkuta mwamba ana mwili mdogodogooo ila chakula anachotupia mwilini ni balaaaa,bongenyanya linagusagusa tu
 
Gari haina heshima hiyo, imekaaa kitoto sana watu wenye heshima zao hawawezi kuikubari hiyo gari ya kitoto,ikipita mtaani kila mtu anajua kwa makelele yake,acha wakomae nayo watoto wanaonza maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…