Ben Zen Tarot JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,298 Reaction score 7,612 May 30, 2021 Thread starter #21 kichomiz said: Gari haina heshima hiyo, imekaaa kitoto sana watu wenye heshima zao hawawezi kuikubari hiyo gari ya kitoto,ikipita mtaani kila mtu anajua kwa makelele yake,acha wakomae nayo watoto wanaonza maisha Click to expand... Me sijawai Kuna mzee anatumia alteza
kichomiz said: Gari haina heshima hiyo, imekaaa kitoto sana watu wenye heshima zao hawawezi kuikubari hiyo gari ya kitoto,ikipita mtaani kila mtu anajua kwa makelele yake,acha wakomae nayo watoto wanaonza maisha Click to expand... Me sijawai Kuna mzee anatumia alteza
W wamjun Member Joined Feb 21, 2012 Posts 53 Reaction score 13 Apr 2, 2023 #22 Mgagaa na Upwa said: Mnyama mtamu sana huyo,kuna hii iko dar ya mshkaji uwa naikubali sana View attachment 1799696 Click to expand... Baba haijawai tokea gari tamu kama tezza
Mgagaa na Upwa said: Mnyama mtamu sana huyo,kuna hii iko dar ya mshkaji uwa naikubali sana View attachment 1799696 Click to expand... Baba haijawai tokea gari tamu kama tezza
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 13,481 Reaction score 28,116 Apr 3, 2023 #23 wamjun said: Baba haijawai tokea gari tamu kama tezza Click to expand... Watu wanaikimbia sababu ya wese mkuu,ila gari nzuri
wamjun said: Baba haijawai tokea gari tamu kama tezza Click to expand... Watu wanaikimbia sababu ya wese mkuu,ila gari nzuri
Attainer Jr JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 433 Reaction score 790 Apr 3, 2023 #24 Ben Zen Tarot said: Me sijawai Kuna mzee anatumia alteza Click to expand... Wapo japo siyo wengi