Mwangajamii Tanzania
Member
- Oct 24, 2018
- 49
- 65
Ungetupatia elimu kwanza mkuuFaida za tende kwa afya
Habari, leo naomba nitoe elimu kidogo kuhusu submita kata umeme.
Kama nyumba yako ndio kwa mara ya kwanza unataka kufunga submita, kata umeme. Ni lazima uanze kufunga submita mbili.
Ukifunga submita moja haina msaada.......
Kwa uhitaji wa submita za kisasa karibu
Bei ya submita moja ni 130,000/= pamoja na ufundi. Nitakupa elimu jinsi ya kuitumia. Kwa huduma ya matengenezo gharama ni 15000 kwa kila submita moja.
0757838927. Narudia tena submita haifungwi moja. Submita zinafungwa kuanzia mbili
.
View attachment 3280004View attachment 3280005
Ungesema hapa kwa faida ya wengi tuelewe mkuu, mbona husikilizi watejaCall me
Kazi ya submita kutumia unit zako zote ulizonunuq bila kushea na mtu mwingineSubmita kazi yake ni nini?
Niambie Je ulitakq kufahamu nini kuhusu submitanikupe majibu Boss wanguUngesema hapa kwa faida ya wengi tuelewe mkuu, mbona husikilizi wateja
Weka tangazo lijitosheleze hapa maana umeamua kuliweka hapa. Sasa kila mtu atakayeuliza swali utamwambia call me?Call me
Nataka kupata yote kuhusu submitaNiambie Je ulitakq kufahamu nini kuhusu submitanikupe majibu Boss wangu
Samahani mkuu lakini tende zina uhusiano gani na submeter? Naona umeanza na faida za tende kwa afya. Au ukila tende unakuwa na uwezo mkubwa wa kufunga na kutumia submeter? 🤔Faida za tende kwa afya
Habari, leo naomba nitoe elimu kidogo kuhusu submita kata umeme.
Kama nyumba yako ndio kwa mara ya kwanza unataka kufunga submita, kata umeme. Ni lazima uanze kufunga submita mbili.
Ukifunga submita moja haina msaada.......
Kwa uhitaji wa submita za kisasa karibu
Bei ya submita moja ni 130,000/= pamoja na ufundi. Nitakupa elimu jinsi ya kuitumia. Kwa huduma ya matengenezo gharama ni 15000 kwa kila submita moja.
0757838927. Narudia tena submita haifungwi moja. Submita zinafungwa kuanzia mbili
.
View attachment 3280004View attachment 3280005
Huyu atakuwa mgeni humu😁😁Samahani mkuu lakini tende zina uhusiano gani na submeter? Naona umeanza na faida za tende kwa afya. Au ukila tende unakuwa na uwezo mkubwa wa kufunga na kutumia submeter? 🤔
Kwanini zifungwe mbili?Kazi ya submita kutumia unit zako zote ulizonunuq bila kushea na mtu mwingine
SUBMITA NI NINI KWANZA? DEFINE IT BASISubmita kata Umeme.
Habari, leo naomba nitoe elimu kidogo kuhusu submita kata umeme.
Kama nyumba yako ndio kwa mara ya kwanza unataka kufunga submita, kata umeme. Ni lazima uanze kufunga submita mbili.
Ukifunga submita moja haina msaada.......
Kwa uhitaji wa submita za kisasa karibu
Bei ya submita moja ni 130,000/= pamoja na ufundi. Nitakupa elimu jinsi ya kuitumia. Kwa huduma ya matengenezo gharama ni 15000 kwa kila submita moja.
0757838927. Narudia tena submita haifungwi moja. Submita zinafungwa kuanzia mbili
.
View attachment 3280004View attachment 3280005
Hiyo ndiyo shida ya WaTanzania hawajanyookaSasa mkuu kichwa cha habari kinasema tupate elimu kidogo, halafu ndani tunakutana na tangazo la biashara... ungekuwa wewe ungeelewa!?
Unazingua mwanaCall me