Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Tupe experience yako, Jambo gani la hovyo ulishawahi kufanya sababu ya mapenzi!
Mimi nilishawahi kutoka saa sita usiku kwenda kumkiss babe, tena njia inapita makaburini, sijui ujasiri nilikua natoa wapi 😆😆.
Mzee nilikuaga natoroka home usiku kwenda kumfundisha babe history (O level) siku napita road mbio mbio Si wakajua mwizi, SAA ngap Don Mmoja pale kitaa asinishikie pipe kichwan. 😂😂. Kuja kuchek Ni Mimi ndio ikawa pona yangu
Nikiwa Day school O'level nilimwomba mwenye nyumba baiskeli na madumu nimsaidie kuchota maji. Lengo ilikuwa kwenda kuspend time na Bae akiwa mtoni anafua. Nilitoka 12 asbh, siku nzima nikakaa mtoni na bae kurudi nilikuta kitanda changu cha 'teremka nikukaze' kipo nje na ma-bag.