Mia saba
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 255
- 390
Binafsi nimekaa chini nikafikilia nimeona biashara ya mavazi ni biashara nzuri mno mno mno Sana hasa ukiwa unachukua kutoka kwa wazalishaji (kiwandani) unakuja kuuza Kama retailer utapiga supernormal profit.
Wewe kwa upande wako juu ya uzoefu wa biashara ni upi? Ni biashara gani nzuri unaikubali?
Wewe kwa upande wako juu ya uzoefu wa biashara ni upi? Ni biashara gani nzuri unaikubali?