Tupeana Location za Night club na viwanja na maeneo yenye Pisi Kali weekend hii

Tupeana Location za Night club na viwanja na maeneo yenye Pisi Kali weekend hii

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
1,968
Kama mada isemavyo! Tupeane Location za watoto wa mzuri karibu na maeneo ya chuo, Night clubs na viwanja mbalimbali! It's weekend on the way
 
Kigamboni Kam unaelekea kibada Chaka linaitwa cape joint pub ni hatar vibe kuanzia j3 had jpil chupi aina zote zinapatkana Alf ili Chaka Kuna Hadi wagen Yan co wabongo watoto wakimantoni ndio chamber hii
Kwa Kigamboni Camp Joint papo lit sana, weekends panawaka kinoma noma. Hakuna cha Liquid, Maasai, Escrow, Nolasco, Facebook and the like..

Ukitaka good times pia sogea Pweza formerly Chadibwa kwa Kigamboni, they have done some good work with the place aisee, nice setting, drinks, the beach, totoz, shisha/sheesha smoking joints........
 
Mziki wa kuchezea ghetto hata haunogi raha ni kubambia kidogo pia, sasa ghetto atabambia friji? Ngoja aseme anataka mbususu ama dancing with pisi kali[emoji2957]
Sas ukishabambia final lazm utataka kwenda nae masela tunafataga mbususu na c kingine Yan nkickiaga mwana eti anaenda viwanja viwanja kufata mzik na kubambia Alf urud tu geto mwenyew aiseeh huo ni uboya Bora ulale tu
 
Mziki wa kuchezea ghetto hata haunogi raha ni kubambia kidogo pia, sasa ghetto atabambia friji? Ngoja aseme anataka mbususu ama dancing with pisi kali[emoji2957]
Nakuja kukuvizia kiwanja chako kile cha ubungo nikubahatishe kwa instinct zangu then nikubambie huku nakuuliza uniambie ni nini kina trend jf..
 
Kwa Kigamboni Camp Joint papo lit sana, weekends panawaka kinoma noma. Hakuna cha Liquid, Maasai, Escrow, Nolasco, Facebook and the like..

Ukitaka good times pia sogea Pweza formerly Chadibwa kwa Kigamboni, they have done some good work with the place aisee, nice setting, drinks, the beach, totoz, shisha/sheesha smoking joints........
Pweza ipo sehem gani?...nipeni locatiin vzr kesho nivuke maji
 
Back
Top Bottom