Tupeana mbinu ni story zako zipi huwa zinamtekaga akili "my love" wako??

_rolex

Member
Joined
Mar 16, 2017
Posts
37
Reaction score
8
Nna rafiki wangu wa kike, Mara nying huwa anapenda kuwa karibu na mie, kunipigia simu na text za mara kwa Mara..
Bt nmegundua mara nyingi nkiwa nae huwa nakuwa kama sina "swaggz" na naishiwa "poz"..
Bt kikubwa ni kwamba mara nyingi huwa nakosa story na vitu vizur vya kumwambia vya kumvutia,,

Sasa kama vp naomba mdrop experience zenu mliowazoefu wa hizi mambo za kujichanganya,

Ni story zp huwa zna mvutia mpenzi wako..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hamna kabisa vitu vingine vya kufikiria zaidi ya mapenzi, niliambiwa kua uyaone ila ya watanzania(waafrika) ni makubwa mno..!
 

mbona kama hizi swagz za kitambo sana?siku hizi hela tu,onyesha hela tu,yaani hela hela tu,mihela tu utawatega hata wasio tegeka
 
ΗαΗαΗαΗααα Muhadithie makinikia na simulizi za kale


utakuwa muhenga we si bure
 
Mkuu ukipewa mbinu that means utaenda ku copy and paste... Usipokua makini utashtukiwa mzee.. Pambana na hali yako..
 
Mkuu sema nimesahau maana stori zote huwa zinakuja pale pale nikisepa na stori naacha hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…