Zinaitwa hivyo, naplan kuanza kufuga mbuzi nianze na watano, kila mwezi niwe naongeza atleast mbuzi wawili.AGROVET
Poa poa mkuuHongera mkuu...anyway kadri utakavyokua kwenye business sio mbaya utakua unakuja kushea mambo mbalimbali..
Tukuyu sehemu gani?