Tupeane Elimu kuhusu token vs coin katika ulimwengu wa cryotocurrency

Kichochoro

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
1,135
Reaction score
1,167
Habar waungwana naomba kufahamishwa/kujua utofauti uliopo Kati ya coin na token katika ulimwengu wa cryotocurrency, na Tabia zake na zipi na me Kati ya token na coin ipi Ni best for cryotocurrency investment????
 
Habar waungwana naomba kufahamishwa/kujua utofauti uliopo Kati ya coin na token katika ulimwengu wa cryotocurrency, na Tabia zake na zipi na me Kati ya token na coin ipi Ni best for cryotocurrency investment????
Mkuu kwa kifupi, coin ni kama noti ya 10,000 na token ni kama cheque. Coin ina thamani halisi ya pesa na token ni kitu kinachoweza kuwakilisha thamani fulani.
 
SME nikampuni ya uhakika kutoka Marekani inayolipa kwa masaa, kwa siku, kwa wiki, kwa mwezi, miezi hadi mwakaa

Naweza kujiungaje??

Jisajili kwa line yako kisha downlod App ya kampuni utakutana na offa yako ya Tsh 10,000/= iwekeze ukitaka uanze kuvuna faida 🤑🤑

Malipo hufanyikaje??

Malipo yote hufanyika Kwa njia mbili kama ifuatavyo👇

M PESA na mfumo wa USDT Kwa wale wenye Wallet

Vifurushi vyake vikoje??

Baadhi ya vifurushi vyake ni hivii hapa 👇

Ukiweka Tshs 30,000/= utapokea sh. 1440 kila siku kwa siku 7 kwa muda wa wiki 5

Ukiweka Tshs 80,000/= utapokea she 4320/= kila siku kwa mda wa siku 15 kwa muda wa wiki 10

Ukiweka Tshs 200,000/= unapokea shs 12,000/= kila sikuu kwa siku 30 kwa miezi mitano

Ukiweka Tshs 500,000/= Utapokea shs 34,000/= kila sikuu kwasiku 60 kwa miezi 10

Utawekeza tena na tenaa

Withdrawal

Kiwango cha chini cha utoaji ni Tsh 5000/= kwa njia ya m-pesa au USDT

withdrawal fee ni 15%

Jisajiri link


Ingia kwa group 👇
 
Toa ushahidi hakuna pesa rahis kiivyo mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…