- Nimepitia AMAZON na EBAYMi natafuta miwani ya jua. ya kiume. style ya aviator. Iwe na 100% UVA&UVB protection maana naona jua linaniletea mushkeli hadi niweke kacap na mkono ndiyo naona fresh. Size isizidi 55mm.
Mfano kwenye link ya amazon hapo juu nimeona hayo pro acme meusi wameandika 9.9 na duduma 12.9. hadi niyapate mchanganuo mzima unakuwaje?- Nimepitia AMAZON na EBAY
- Bei ya hii miwani ni kati ya USD 16 hadi 25
- Wauzaji wengi hawatumia Tanzania (africa)
- Kwa ambao wanatuma Tanznaia, Freight cost ni kati ya USD 22 hadi 33
View attachment 793031
Hivyo ni changamoto kupata hii miwani kwa USD20, kwa kuiagiza.
Reference:
Pro acme = 9.9 + 22 =US $31.9Mfano kwenye link ya amazon hapo juu nimeona hayo pro acme meusi wameandika 9.9 na duduma 12.9. hadi niyapate mchanganuo mzima unakuwaje?
Anataka ya miguuniMiwani zote ni za Macho Mjomba,
Hakuna miwani isiyovaliwa machoni
umeona Pm yangu?Pro acme = 9.9 + 22 =US $31.9
Duduma = 12.9 + 22 = US $34.9
Muda: Ndani ya siku 7 - 14
Njia ya malipo: Mobile Banking
Nimeiona, na tayari nimejibuumeona Pm yangu?
Sidhani Mkuu,Cjui chochote kuhusu miwani, wala cjawai kavaa
Ila hii ya huddah nimeipenda kwakwel, nataman kuwa nayo
Yenyewe Naic inavaliwa muda wowote