Wadau wa JF hasa Jf Doctor watu wengi wamekuwa wakitoa matatizo yao ya kuumwa kwenye Jf Doctor na kupewa ushauri wa kitabibu either Hospitali au Tiba mbadala,kitu ninachoona kingekuwa cha manufaa kwa wana Jf wote mnaonaje kama mngekuwa mnatupa feedback baada ya matibabu ili wahanga wengine waweze kufuatilia hizo tiba ili kama zina manufaa nao waweze kufaidika na kama hazifai ili watu waachane na tiba husika!Nawakilisha.