The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Nilifanya kwa muda nikaacha kwa changamoto ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu,Kwamba hakuna wanaofanya hii biashara au?
Thanks mkuu kwa ku share hints muhimu..Nilifanya kwa muda nikaacha kwa changamoto ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu,
Lakini changamoto nilizokuwa nakutana nazo ni polisi pale nimeuziwa vyuma vya wizi,
Mwanzo nilinunua mzani ambao una label ya WMA(unatambulika na wakala wa vipimo Tanzania) sababu ukikutwa na mzani ambao hautambuliki ni makosa, nikawa nanunua kwa kilo sh 550 namimi naenda kuuza NYAKATO STEEL KWA 1,000 kwa kilo, na kuna vyuma vizito ambavyo nilikuwa siuziwi kwa kilo bali tuna-bargain ,kuanzia plate, Angle Iron za milimita tatu na kuendelea.
Ishu nyingine inakuja kwenye mtaji, maana unaweza letewa vyuma ambavyo huwezi kufika bei (hii ni kwenye bargaining) sio vya kupima.
Obvious ni biashara nzuri, ila unatakiwa uwe na kibali ili uifanye bila usumbufu na usinunue nyara za serikali(mifuniko ya chemba za barabarani,vyuma vya Tanesco na vinginevyo)
Ni biashara halali mkuu na unapewa vibali.Nyie ndio mnaotuharibia miundombinu yetu, mnaiba hadi Misalaba makaburini.
Fungua ofisi yako sehem ambayo ni rahisi kukusanya mzigo wako unaweka tu mzani nje ya ofisi yako, kuna maeneo ya magereji,kuna maeneo ya viwanda n.k hizi ndo sehemu unaweza kusanya mzigo kwa haraka zaidi, kama ni kunnua zile za kupima ukiwa na 2m unaanza kabisa hiyo ni mbali na kukununua mzani,maana NYAKATO STEEL nilikuwa naenda na mzigo kuanzia tani moja na nusu....ila kuna mahala ni wewe tu vibali na mtaji wako vyuma ni vingi mnoThanks mkuu kwa ku share hints muhimu..
But ukiacha kwa sababu za changamoto za biashara au? Pili namna ya kuifanya inakuaje kwamba wateje watajuaje wewe unanunua Vyuma Chakavu I mean unapataje huo mzigo?
Mwisho sio kwa umuhimu,mtaji unaotakiwa ni around kiasi gani? Thanks in advance.
ThanksFungua ofisi yako sehem ambayo ni rahisi kukusanya mzigo wako unaweka tu mzani nje ya ofisi yako, kuna maeneo ya magereji,kuna maeneo ya viwanda n.k hizi ndo sehemu unaweza kusanya mzigo kwa haraka zaidi, kama ni kunnua zile za kupima ukiwa na 2m unaanza kabisa hiyo ni mbali na kukununua mzani,maana NYAKATO STEEL nilikuwa naenda na mzigo kuanzia tani moja na nusu....ila kuna mahala ni wewe tu vibali na mtaji wako vyuma ni vingi mno