Kama kichwa kinavyosema, huu ni uzi wa kupeana mchongo wa namna ya kuwapata wasanii mbalimbali ili kuwatumia katika biashara mfano za kujipromote au kuandaa tamasha. Pia tusaidiane kuunganisha nguvu ili kupunguza gharama pale itakapobidi, mfano kama ni Arusha tunaungana kumleta kwa show au la.
Wenye connection karibuni.